Mwinyi: Uislamu unahimiza upendo, amani na umoja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Uislamu unahimiza upendo, amani, umoja na mshikamano, misingi ambayo ni muhimu katika kujenga jamii yenye utulivu, maelewano na maendeleo. Dkt. Mwinyi ameyasema hayo leo, tarehe...