Uboreshwaji wa daraja la Chalinze Mzee wafikia asilimia 90

Na Mwamvua Mwinyi, BagamoyoOktoba 8, 2026 UBORESHWAJI wa Daraja la Chalinze Mzee lililopo katika barabara ya Chalinze–Segera, mkoani Pwani, umefikia asilimia 90, huku Serikali mkoani humo ikiridhishwa na maboresho yanayoendelea kukabiliana na athari za mvua zinazotarajiwa kunyesha. Mkuu wa Mkoa...