Msimamo wa TRA kutofungia biashara umezingatia maslahi ya pande zote

Na Dk Reubeni Lumbagala, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kuna mabadiliko makubwa ndani ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa namna wanavyoendesha shughuli zao. Mabadiliko hayo yamezingatia kuongeza ufanisi wa ukusanyaji kodi bila kuumiza upande mwingine. TRA katika kutimiza wajibu wake...