Waziri Mkuu aongoza kikao uongezaji thamani madini adimu

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ni muhimu kuendelea kuwekeza katika matumizi ya teknolojia itakayowezesha nchi kuongeza thamani ya madini adimu (critical minerals) badala ya kuyauza katika hali ghafi. Amesema hayo leo (Jumatano, Oktoba 7, 2026) wakati akipokea taarifa ya...