DRC yamshutumu Kabila kwa kuunga mkono kundi la waasi

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imemtuhumu rais wa zamani wa taifa hilo, Joseph Kabila,kwa kujaribu kuipindua serikali ya sasa ili kurejea madarakani. Waziri wa Habari wa DRC, Patrick Muyaya, ambaye pia ni msemaji wa serikali, amesema uamuzi...