ACT WAZALENDO Yaiomba Serikali kukaa na Wamachinga kupata suluhu naomna upangaji wa Jiji

Na Mwandishi Wetu — Jamhuri MediaDar es Salaam Chama cha ACT Wazalendo kimeiomba Serikali kusitisha operesheni za kuwaondoa wafanyabiashara wadogo katika maeneo wanayofanyia biashara, kikisisitiza kuwa changamoto zinazohusishwa na shughuli zao zinapaswa kushughulikiwa kwa mipango shirikishi badala ya kuwaondoa katika...