Kabudi avitaka vyama kutumia baraza kutatua tofauti

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Prof. Palamagamba Kabudi, amevitaka vyama vya siasa nchini kutumia Baraza la Vyama vya Siasa kama jukwaa la mazungumzo na mashauriano katika kutatua tofauti zao, akisisitiza kuwa mfumo wa vyama...