Kliniki ya biashara na viwanda kunufaisha zaidi ya wafanyabiashara 3,500 Arusha

Serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wajasiriamali na wafanyabiashara nchini, huku Kliniki ya Biashara na Viwanda inayoendelea jijiji Arusha ikitarajiwa kuwafikia zaidi ya wajasiriamali na wafanyabiashara 3,500 kutoka mikoa ya Kaskazini. Akizungumza jijini Arusha wakati wa kufungua rasmi kliniki hiyo,...