Masauni : Watanzania epukeni gesi zinazoharibu tabaka la Ozoni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali imewataka Watanzania kuepuka kuingiza nchini gesi zilizopigwa marufuku na vifaa vinavyotumia gesi zinazoharibu Tabaka la Ozoni, ikiwemo majokofu na viyoyozi vilivyotumika, ili kulinda mazingira na kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi. Wito...