Mwenge wa Uhuru watoa wiki mbili umeme ufike kituo cha afya Kiloleli

Na Allan Kitwe, JmahuriMedia, Sikonge SHIRIKA la Umeme (TANESCO) wilayani Sikonge Mkoani Tabora limepewa muda wa siku 14 kuhakikisha umeme unafikishwa kwenye Kituo cha Afya Kiloleli ili kurahisisha utoaji huduma kwa wananchi. Agizo hilo limetolewa jana na Kiongozi wa Mbio...